• HABARI MPYA

    Sunday, May 21, 2017

    CHELSEA WASHEREHEKEA UBINGWA KWA RAHA ZOTE

    Wachezaji wa Chelsea wakishangilia na Kombe lao la ubingwa wa Ligi Kuu ya England walilokabidhiwa baada ya mechi dhidi ya Sunderland wakishinda 5-1 Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao ya Chelsea yamefungwa na Willian dakika ya nane, Eden Hazard dakika ya 61, Pedro dakika ya 77, M. Batshuayi dakika ya 90 na 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CHELSEA WASHEREHEKEA UBINGWA KWA RAHA ZOTE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top