Arjen Robben akiondoka na mpira baada ya kuifungia Bayern Munich bao la nne katika ushindi wa 4-0 dhidi ya PSV Eindhoven kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Allianz Arena. Mabao mengine ya Bayern yalifungwa na Thomas Muller, Joshua Kimmich na Robert Lewandowski wakati la PSV lilifungwa na Luciano Narsingh PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Thursday, October 20, 2016
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment