• HABARI MPYA

    Thursday, October 20, 2016

    ATLETICO MADRID YASHINDA 1-0 UGENINI

    Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres (juu) akipambana na mchezaji wa Rostov, Igor Kireev katika mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Olimp 2 mjini Rostov-na-Donu. Atletico ilishinda 1-0, bao pekee la Yannick Carrasco PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ATLETICO MADRID YASHINDA 1-0 UGENINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top