Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, October 01, 2016

  LUKAKU, BENTEKE WOTE WAFUNGA PALACE NA EVERTON ZIKITOKA SARE YA 1-1

  Beki wa kulia wa Crystal Palace, Joel Ward akimdhibiti mshambuliaji wa Everton, Romelu Lukaku katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku wa jana Uwanja wa Goodison Park. Lukaku alianza kuifungia bao la Everton kablaa ya Christian Benteke kuisawazishia Palace timu hizo zikitoka sare ya 1-1 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: LUKAKU, BENTEKE WOTE WAFUNGA PALACE NA EVERTON ZIKITOKA SARE YA 1-1 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top