Tovuti Hii hutembelewa na zaidi ya watu 60,000 kila siku, kutangaza biashara yako na www.binzubeiry.co.tz,
Tuma maombi kwa barua pepe 4thebetter@gmail.com.
 • HABARI MPYA

  Saturday, October 01, 2016

  CHELSEA YARUDI BARABARANI, YAILAZA HULL CITY 2-0

  Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Hull City leo Uwanja wa KCOM mjini Hull kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo. Bao lingine la Chelsea limefungwa na Diego Costa dakika ya 67 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Post a Comment

  Note: Only a member of this blog may post a comment.

  Item Reviewed: CHELSEA YARUDI BARABARANI, YAILAZA HULL CITY 2-0 Rating: 5 Reviewed By: BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top