• HABARI MPYA

  Saturday, October 01, 2016

  LIVERPOOL YAITANDIKA SWANSEA CITY 2-1 LIBERTY

  Beki wa kushoto wa Liverpool, James Milner akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi timu yake kwa penalti dakika ya 84 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Swansea City katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Liberty. Swansea walitangulia kwa bao la Leroy Fer dakika ya nane, kabla ya Roberto-Firmino kusawazisha dakika ya 54 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: LIVERPOOL YAITANDIKA SWANSEA CITY 2-1 LIBERTY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top