• HABARI MPYA

  Sunday, October 02, 2016

  BIN SLUM, AZAM VETERANS WANG'ARA KOMBE LA URAFIKI GYMKHANA

  Kocha wa timu ya Bin Slum Veterans, Mohamed Bin Slum (kushoto) akiwa na Kombe la ubingwa wa michuano ya Urafiki iliyomalizika juzi wakiwafunga wenyeji, Gymkhana Stars mabao 3-1 Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam. Kulia ni Nahodha wa Azam Veterans, Abdulkarim Amin 'Popat' ambaye timu yake ilishika nafasi ya pili baada ya ushindi wa 4-1 dhidi ya Gymkhana Nyota
  Mkurugenzi Mkuu wa Bin Slum Tyres Limited, Nassor Bin Slum (katikati)
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BIN SLUM, AZAM VETERANS WANG'ARA KOMBE LA URAFIKI GYMKHANA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top