• HABARI MPYA

  Sunday, October 02, 2016

  MAN UNITED YANG'ANG'ANIWA, SARE 1-1 NA STOKE CITY

  Mshambuliaji wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic (kushoto) akijaribu kumpita beki wa Stoke City, Bruno Martins Indi (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jioni ya leo Uwanja wa Old Trafford. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Man United wakitangulia kwa bao la Anthony Martial dakika ya 69 kabla ya Joe Allen kuisawazishia Stoke dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YANG'ANG'ANIWA, SARE 1-1 NA STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top