• HABARI MPYA

  Sunday, June 12, 2016

  YANGA WAFIKA SALAMA UTURUKI, SASA KAZI TU WAALGERIA WAPIGWE JUNI 19

  Wachezaji wa Yanga kutoka kulia kiungo Thabani Kamusoko, beki Hassan Kessy na mshambuliaji Donald Ngoma wakiwa katika hoteli ya Riu mjini Antaliya, Uturuki baada ya kuwasili leo kwa kambi ya kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, MO Bejaia ya Algeria Juni 19, mwaka huu

  Mandhari ya kuvutia ya hoteli ya Riu mjini Antalya inavyoonekana 

  Wachezaji wa Yanga wakiwa ufukweni mwa Bahari ya Mediterranea iliyopo mbele ya hoteli hiyo 

  Kutoka kulia Juma Mahadhi, Simon Msuva, Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro' na Hassan Kessy

  Hassan Kessy akifurahia maisha kwa mwajiri mpya Yanga SC

  Hassan Kessy akiwa na Nahodha Cannavaro (kulia) ndani ya ndege wakati wa safari

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA WAFIKA SALAMA UTURUKI, SASA KAZI TU WAALGERIA WAPIGWE JUNI 19 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top