• HABARI MPYA

  Sunday, June 12, 2016

  TENDO BILA KUCHELEWA, YANGA WAANZA MAKAMUZI UTURUKI

  Wachezaji wa Yanga wakifanya mazoezi mepesi katika viwanja vya hoteli ya Riu mjini Antalya, Uturuki ambako wameweka kambi kuanzia leo kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji MO Bejaia nchini Algeria Juni 19, mwaka huu
  Kipa Deo Munishi 'Dida' akiwa tayari kwa mazoezi mjini Antalya
  Wachezaji wa Yanga wakielekea uwanjani kutoka hoteli ya Riu
  Wachezaji wa Yanga wakisikiliza mawaidha ya kocha wao, Mholanzi Hans van der Pluijm kabla ya kuanza mazoezi
  Uwanja ambao Yanga itakuwa ikifanya mazoezi katika kipindi chote cha kambi yake Antalya
  Hoteli ya Riu ambayo Yanga wamefikia mjini Antalya
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TENDO BILA KUCHELEWA, YANGA WAANZA MAKAMUZI UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top