• HABARI MPYA

  Thursday, June 09, 2016

  YANGA INAVYOJIANDAA KWENDA KUBEBA POINTI TATU ALGERIA KOMBE LA SHIRIKISHO

  Winga wa Yanga, Geoffrey Mwashiuya (kulia) akipambana na mchezaji mwenzake mazoezini leo Uwanja wa Taifa wa Taifa, Dar es Salaam timu hiyo ikijiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya MO Bejaia ya Algeria Juni 19 mwaka huu mjini Bejaia, Algeria
  Mshambuliaji Matheo Anthony akimiliki mpira katikati ya wenzake leo Uwanja wa Taifa
  Beki mpya, Hassan Kessy aliyesajiliwa kutoka kwa mahasimu, Simba akiwaongoza wenzake katika mazoezi ya kumiliki mpira
  Beki mpya, Andrew Vincent 'Dante' akiwa tayari kwa maelekezo ya kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm (kulia)
  Kutoka kulia ni Nahodha Nadir Haroub 'Cannavaro', Kevin Yondan na Haruna Niyonzima wakinyoosha viuno
  Kulia ni mshambuliaji Mzimbabwe Donald Ngoma katika mazoezi ya kunyoosha misuli 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA INAVYOJIANDAA KWENDA KUBEBA POINTI TATU ALGERIA KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top