• HABARI MPYA

  Sunday, June 12, 2016

  URUSI YAICHOMOLEA ENGLAND DAKIKA ZA LALA SALAMA, SARE 1-1 EURO 2016

  Beki wa England, Gary Cahill akijaribu kuupitia mpira miguuni mwa mshambuliaji wa Urusi, Fedor Smolov katika mchezo wa Kundi B Euro 2016 usiku wa Jumamosi Uwanja wa Stade Velodrome, Marseille, Ufaransa. Timu hizo zimetola sare ya 1-1, England wakitangulia kwa bao la Eric Dier dakika ya 73, kabla ya Vasili Berezutski kuisawazishia Urusi dakika ya 90 na ushei  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URUSI YAICHOMOLEA ENGLAND DAKIKA ZA LALA SALAMA, SARE 1-1 EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top