• HABARI MPYA

  Wednesday, June 15, 2016

  URENO YA RONALDO YALAZIMISHWA SARE NA ICELAND, 1-1 EURO 2016

  Nyota wa Ureno, Cristiano Ronaldo (kuia) akitafuta maarifa ya kumpita mchezaji wa Iceland, Kolbeinn Sigthorsson katika mchezo wa Kundi F Euro 2016 Uwanja wa Stade Geoffroy-Guichard mjini Saint-Etienne, Ufaransa. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Luis Nani akianza kuifungia Ureno kabla ya Birkir Bjarnason kuisawazishia Uceland. Mchezo mwingine wa Kundi F jana, Hungary iliifunga Austria 2-0, mabao ya Adam Szalai na Zoltan Stieber Uwanja wa Matmut Atlantique, Ufaransa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: URENO YA RONALDO YALAZIMISHWA SARE NA ICELAND, 1-1 EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top