• HABARI MPYA

  Thursday, June 02, 2016

  UBELGIJI CHUPUCHUPU KUPIGWA NYUMBANI NA FINLAND

  Nyota wa Ubelgiji, Eden Hazard akimiliki mpira mbele ya Perparim Hetemaj wa Finland katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Euro 2016 Uwanja wa Roi Baudouin mjini Brussel timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Bao la Finland likifungwa na Kasper Hamalainen dakika ya 53, kabla ya Romelu Lukaku kusawazisha dakika ya 89  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UBELGIJI CHUPUCHUPU KUPIGWA NYUMBANI NA FINLAND Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top