• HABARI MPYA

    Thursday, June 02, 2016

    POLAND YAGONGWA NYUMBANI 2-1 NA UHOLANZI

    Mshambuliaji wa Poland, Robert Lewandowski (kushoto) akijiweka sawa kwa ajili ya mpira mbele ya Jeffrey Bruma wa Uholanzi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Energa mjini Gdansk. Uholanzi ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Vincent Janssen na Georginio Wijnaldum, wakati la wenyeji, Poland lilifungwa na Artur Jedrzejczyk  PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POLAND YAGONGWA NYUMBANI 2-1 NA UHOLANZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top