• HABARI MPYA

  Thursday, June 02, 2016

  HISPANIA YAIFUMUA KOREA 6-1 PASHA PASHA YA EURO 2016

  Alvaro Morata wa Hispania akiwania mpira dhidi ya kipa wa Korea Kusini, Kim Jin-Hyeon (kushoto) katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa Uwanja wa Red Bull Arena mjini Salzburgbut. Hispania ilishinda 6-1, Morata akifunga mawili sawa na Nolito, mengine yakifungwa na David Silva, Cesc Fabregas huku la Korea likifungwa na Ju Se-Jong PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HISPANIA YAIFUMUA KOREA 6-1 PASHA PASHA YA EURO 2016 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top