• HABARI MPYA

  Wednesday, June 15, 2016

  TUKUYU STARS ILIKUWA NYUMBA YA VIPAJI ENZI HIZO WE ACHA TU!

  Viungo wa Tukuyu Stars ya Mbeya, Stephen Mussa (sasa marehemu, kulia) na Sekilojo Chambua (kushoto) wakipata chakula cha jioni nyumbani kwa kiongozi wao, Manzese, Dar es Salaam baada ya mchezo wa Ligi Daraja la Kwanza Tanzania Bara (sasa Ligi Kuu) dhidi ya Simba Uwanja wa Taifa (sasa Uhuru), Dar es Salaam mwaka 1992. Baada ya msimu huo, Stephen alihamia Yanga mwaka 1993 na Chambua akafuatia mwaka 1994
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TUKUYU STARS ILIKUWA NYUMBA YA VIPAJI ENZI HIZO WE ACHA TU! Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top