• HABARI MPYA

  Wednesday, June 08, 2016

  STRAIKA MAGULI ATAIBUKIA WAPI MSIMU UJAO?

  Mshambuliaji wa Stand United, Elias Maguli akimiliki mpira katika mazoezi ya timu ya taifa, Taifa Stars kujiandaa na mchezo wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Misri ambao Tanzania ilifungwa 2-0 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam 
  Maguli ni kati ya washmbuliaji bora kwa sasa Tanzania, ambaye inaonekana kama Stand United 
  Uwezekano wa Maguli kubaki Stand ni mdogo baada ya kutofautiana na kocha Mfaransa, Patrick Liewig
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: STRAIKA MAGULI ATAIBUKIA WAPI MSIMU UJAO? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top