• HABARI MPYA

  Wednesday, June 08, 2016

  RODRIGUEZ AIPIGIA LA USHINDI COLOMBIA, MAREKANI YAUA 4-0 COPA AMERICA

  Nahodha wa Colombia, James Rodriguez akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Paraguay kwenye mchezo wa Copa America Uwanja wa Rose Bowl mjini Pasadena, Marekani alfajiri ya leo. Bao lingine la Colombia ambayo sasa inatinga Robo Fainali ya michuano hiyo, limefungwa na Carlos Bocca wakati la Paraguay limefungwa na Victor Ayala  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 

  Kiungo wa Marekani, Jermaine Jones akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Costa Rica kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Copa America mjini Chicago alfajiri ya leo. Mabao mengine ya Marekani yamefungwa na Clint Dempsey, Bobby-Wood na Graham-Zusi  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RODRIGUEZ AIPIGIA LA USHINDI COLOMBIA, MAREKANI YAUA 4-0 COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top