• HABARI MPYA

    Tuesday, June 14, 2016

    PJANIC AACHANA NA ROMA, AANGUKA MIAKA MITANO JUVE

    Kiungo wa Roma, Miralem Pjanic akiwa ameshika jezi ya timu yake mpya, Juventus, zote za Italia baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 26 kujiunga na wababe hao wa Serie A kwa Mkataba wa miaka mitano  PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: PJANIC AACHANA NA ROMA, AANGUKA MIAKA MITANO JUVE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top