• HABARI MPYA

    Wednesday, June 22, 2016

    KIFAA KIPYA YANGA KILIVYOPAA KAMBINI UTURUKI USIKU HUU

    Kiungo mpya mshambuliaji wa Yanga, Mzambia Obrey Chirwa (kulia) akiwa na Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya klabu hiyo, Jerry Muro usiku huu Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam tayari kwa safari ya Antalya, Uturuki kuungana na wachezaji wenzake kwa kambi ya kujiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe wiki ijayo Dar es Salaam. Chirwa aliyejiunga na Yanga kutoka FC Platinums ya Zimbabwe alirejea nchini mara moja kukamilisha taratibu za usajili wake.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIFAA KIPYA YANGA KILIVYOPAA KAMBINI UTURUKI USIKU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top