• HABARI MPYA

    Friday, June 10, 2016

    ILIPOBIDI NGOMA KUMVUTA JEZI MWASHIUYA MAZOEZINI YANGA LEO

    Mshambuliaji Mzimbabwe, Donald Ngoma (kulia) akimvuta jezi winga Geoffrey Mwashiuya kumpunguza kasi katika mazoezi ya Yanga jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika Juni 19, mwaka huu dhidi ya wenyeji Mo Bejaia nchini Algeria
    Viungo Juma Mahadhi (kulia) na Said Juma 'Makapu' wakionyeshana kazi
    Mabeki Hassan Kessy (kushoto) na Oscar Joshua wakionyeshana kazi
    Winga Yussuf Mhilu (kulia) aliyepandishwa kutoka Yanga B, akimtoka beki Andrew Vincent
    Kocha Mkuu, Mholanzi Hans van der Pluijm akimpa maelekezo beki mpya, Andrew Vincent aliyesajiiwa kutoka Mtibwa Sugar
    Kocha Msaidizi, Juma Mwambusi (kulia) akizungumza na wachezaji kuwapa maelekezo 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ILIPOBIDI NGOMA KUMVUTA JEZI MWASHIUYA MAZOEZINI YANGA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top