• HABARI MPYA

  Wednesday, June 08, 2016

  HISPANIA YAGONGWA 1-0 NYUMBANI NA GEORGIA KIRAFIKI

  Tornike Okriashvili akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Georgia ikiilaza 1-0 Hispania katikaa mchezo wa kirafiki wa kimataifa usiku wwa jana mjini Getafe kujiandaa na Euro 2016 Ufaransa  PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HISPANIA YAGONGWA 1-0 NYUMBANI NA GEORGIA KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top