• HABARI MPYA

  Saturday, April 16, 2016

  MASHABIKI WAMWAGA KARATASI KIBAO UWANJANI, MECHI YASIMAMA LIGUE 1

  Kipa wa Lyon, Anthony Lopes (katikati) akiwasaidia walinzi kuondoa karayasi kwenye Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais usiku wa Ijumaa wakati wa mchezo wa Ligue 1 dhidi ya Nice. Mchezo huo ulisimama dakika ya 70 baada ya mashabiki kutupia karatasi nyingi uwanjani hadi zilipoondolewa ukaendelea na kumalizika kwa sare ya 1-1. Valere Germain alianza kuifungia NIce kabla ya Alexandre Lacazette kuwasawazishia Lyon, ambao dakika ya 25 walimpoteza mshambuliaji wao, Maxwel Cornet aliyetolewa kwa kadi nyekundu kwa mchezo mbaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI WAMWAGA KARATASI KIBAO UWANJANI, MECHI YASIMAMA LIGUE 1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top