• HABARI MPYA

  Friday, January 03, 2020

  RASMI LUIS JOSE MIQUISSONE NI MCHEZAJI MPYA WA SIMBA SC BAADA YA KUTAMBULISHWA LEO DAR

  Kocha Mbelgiji wa Simba SC, Sven Vandenbroeck akimkabidhi jezi kiungo wa kimataifa wa Msumbiji, Luis Jose Miquissone baada ya kukamilisha uhamisho wake kujiunga na klabu hiyo akitokea Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini ambayo msimu huu ilimpeleka kwa mkopo UD Songo ya kwao 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RASMI LUIS JOSE MIQUISSONE NI MCHEZAJI MPYA WA SIMBA SC BAADA YA KUTAMBULISHWA LEO DAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top