• HABARI MPYA

  Wednesday, January 22, 2020

  AGUERO AIFUNGIA BAO PEKEE MAN CITY IKIILAZA 1-0 SHEFFILD

  Mshambuliaji Sergio Aguero aliyetokea benchi dakika ya 67 kuchukua nafasi ya Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 73 ikiwalza wenyeji Sheffield United 1-0 Uwanja wa Bramall Lane katika mchezo wa Ligi Kuu ya England 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AGUERO AIFUNGIA BAO PEKEE MAN CITY IKIILAZA 1-0 SHEFFILD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top