• HABARI MPYA

  Saturday, January 18, 2020

  ARSENAL 'WANYIMWA PENALTI' WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA SHEFFIELD

  Nicolas Pepe wa Arsenal akienda chini baada ya kuangushwa na Jack O'Connell wa Sheffield United kwenye boksi, lakini refa Mike Dean hakutoa penalti timu hizo zikitoka sare ya 1-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Emirates. Gabriel Martinelli alianza kuifungia Arsenal dakika ya 45 kabla ya John Fleck kuisawazishia Sheffield United dakika ya 83 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ARSENAL 'WANYIMWA PENALTI' WALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA SHEFFIELD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top