• HABARI MPYA

  Sunday, January 19, 2020

  CASIMIRO APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA SEVILLA 2-1

  Kiungo Carlos Henrique Casimiro akishangilia baada ya kuifunga Real Madrid mabao mawili dakika za 57 na 69 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Sevilla, ambayo bao lake lilifungwa na Luuk de Jong dakika ya 64 usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: CASIMIRO APIGA MBILI REAL MADRID YAICHAPA SEVILLA 2-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top