Gareth Bale akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 18 hilo likiwa bao la kwanza katika klabu hiyo tangu Septemba 1, mwaka jana katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Unionistas de Salamanca ya Daraja la Tatu kwenye mchezo wa Kombe la Mfalme Hispania Hatua ya 16 Bora usiku wa jana Uwanja wa Pistas del Helmántico. Mabao mengine ya Real Madrid yalifungwa na Juan Góngora aliyejifunga dakika ya 62 na Brahim Díaz dakika ya 90 na ushei wakati la 'Unionistas lilifungwa na Álvaro Romero dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Soccer Aid 2024: Alex Scott returns as host while Bobby Brazier and Tommy
Fury lead the stars lacing up their boots and taking to the pitch for
annual charity match
-
Soccer Aid for UNICEF 2024 has announced it's celebrity players ahead of
the annual charity match on Sunday 9th June at Stamford Bridge.
58 minutes ago
0 comments:
Post a Comment