• HABARI MPYA

  Sunday, October 13, 2019

  JOSH WARRINGTON AMTWANGA SOFIANE KWA KO RAUNDI YA PILI

  Bondia Mfaransa Sofiane Takoucht (kushoto) akienda chini baada ya kuchapwa konde na Muingereza Josh Warrington katika raundi ya pili ya pambano la ngumi za kulipwa uzito wa Feather usiku wa jana ukumbi wa First Direct Arena mjini Leeds, England. Warrington alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili na kutetea taji la IBF kwa mara ya tatu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOSH WARRINGTON AMTWANGA SOFIANE KWA KO RAUNDI YA PILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top