‘KAPTENI’ MKAPA AKIWATAMBULISHA KABURU NA MKATI YANGA SC 1991
Nahodha wa Yanga SC na beki wa kushoto, Kenneth Mkapa (katikati) akimtambulisha mchezaji mwenzake, kiungo Abdallah Suleiman ‘Kaburu’ kwa mgeni rasmi kabla ya moja ya mechi za timu hiyo mwaka 1991. Mwingine kulia ni beki wa kulia, Suleiman Mkati
0 comments:
Post a Comment