Wachezaji wa Italia wakishangilia baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ugiriki usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi J kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Olimpico mjini Roma, mabao ya Jorginho kwa penalti dakika ya 63 na Federico Bernardeschi dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Sunday, October 13, 2019
- Blogger Comments
- Facebook Comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment