• HABARI MPYA

    Monday, October 14, 2019

    GUNDOGAN APIGA MBILI UJERUMANI YAICHAPA ESTONIA 3-0

    Ilkay Gundogan akishangilia baada ya kuifungia Ujerumani mabao mawili dakika za 51 na 57 kabla ya Timo Werner kufunga lingine dakika ya 71 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Estonia kwenye mchezo wa Kundi C kufuzu Euro 2020 Uwanja wa A. Le Coq Arena mjini Tallinn 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GUNDOGAN APIGA MBILI UJERUMANI YAICHAPA ESTONIA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top