Michy Batshuayi akishangilia baada ya kuifungia Ubelgiji bao la kwanza dakika ya 21 kabla ya Thomas Meunier kufunga la pili dakika ya 53 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji Kazakhstan usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi I kufuzu Euro 2020 Uwanja wa Astana Arena mjini Astana PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Tottenham Hotspur 1-3 Man Utd: Edinson Cavani scores as visitors fight back
-
Manchester United come from behind to win at Tottenham with Edinson Cavani
scoring a superb diving header.
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment