• HABARI MPYA

  Saturday, August 03, 2019

  TIK TAK LA KIPAGWILE AZAM FC IKIICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 CHAMAZI

  Kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Iddi Kipagwile akibinuka tik tak katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi Tanzania Alhamisi Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Azam FC ilishinda 1-0, bao pekee la Paul Peter dakika ya tatu 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: TIK TAK LA KIPAGWILE AZAM FC IKIICHAPA POLISI TANZANIA 1-0 CHAMAZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top