Mshambuliaji wa Azam FC, Shaaban Iddi Chilunda akijifua na wachezaji wenzake mjini Bahir Dar, Ethiopia leo kujiandaa na mechi ya raundi ya awali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Fasil Kenema itakayofanyika Uwanja wa Bahir Dar Jumapili
Iddi Nado akijifua na wachezaji wenzake wa Azam FC mjini Bahir Dar, Ethiopia leo
Iddi Nado akijifua na wachezaji wenzake wa Azam FC mjini Bahir Dar, Ethiopia leo
0 comments:
Post a Comment