Beki Mzanzibari, Ally Ally akibinuka tik tak kuokoa katikati ya wachezaji wa Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana jioni Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam timu hizo zikitoka sare ya 3-3
Kiungo mkongwe, Mwinyi Kazimoto akimtoka Vitalis Mayanga wa Stand United
Mshambuliaji wa Simba, Mrundi Laudit Mavugo akiwa anagaagaa chini baada ya kupitiwa ya Ally Ally wa Stand United
Kiungo wa Simba, Jonas Mkude (kulia) akimiliki mpira mbele ya Bigirimana Blaise wa Stand United
Mshambuliaji wa Simba, Juma Luizio akiwatoka wachezaji wa Stand United
Mshambuliaji Mghana wa Simba SC, Nicholaus Gyan akipiga mpira licha ya kubanwa na wachezaji wa Stand United
Mshambuliaji Mrundi wa Simba, Laudit Mavugo akimiliki mpira dhidi ya Ally Ally wa Stand United
Beki Ismail Gambo anayecheza kwa mkopo kutoka Azam FC akiuwahi mpira dhidi ya Shiza Kichuya wa Simba
Kikosi cha Stand United kilichoanza jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Simba SC kilichoanza jana Uwanja wa Taifa
Scotland handed 2am kick-off for World Cup opener against Haiti in
Boston... and must face Brazil in the baking heat of Miami
-
The Tartan Army will be asked to burn the midnight oil during next summer's
World Cup after Scotland were handed a series of late-night kick-off slots.
18 minutes ago


.png)
0 comments:
Post a Comment