• HABARI MPYA

  Friday, March 02, 2018

  MATESO HAYA ANAYOPITIA WENGER ARSENAL LAWAMA ZA NANI?

  Kocha wa Arsenal, Mfaransa Arsene Wenger akisikitikia kipigo cha mabao 3-0 kutoka kwa Manchester City ya kocha Mspaniola, Pep Guardiola usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates London. Hiki ni kipigo cha pili mfululizo Man City wanaipa Arsenal ndani ya siku tano baada ya Jumapili kuifunga 3-0 katika fainali ya Kombe la Ligi England Uwanja wa Wembley PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MATESO HAYA ANAYOPITIA WENGER ARSENAL LAWAMA ZA NANI? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top