• HABARI MPYA

  Friday, March 02, 2018

  MAN CITY YAITANDIKA ARSENAL TATU NYINGINE PALE PALE LONDON

  Nyota wa Manchester City, Leroy Sane akikimbia kushangilia baada ya kufunga bao la tatu dakika ya 33 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Arsenal usiku wa Alhamisi Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya Man City ambayo Jumapili iliifunga 3-0 tena Arsenal katika fainali ya Kombe la Ligi Uwanja wa Wembley, yalifungwa na Bernardo Silva dakika ya 15 na David Silva dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAITANDIKA ARSENAL TATU NYINGINE PALE PALE LONDON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top