• HABARI MPYA

  Friday, March 02, 2018

  MASHABIKI SIMBA SC WALIVYOTIA HURUMA LEO TAIFA, HIYO SARE TU!

  Mashabiki wa Simba wakiwa wenye huzuni baada ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Stand United Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam uliomalizika kwa sare ya 3-3 jioni ya leo
  Jamaa wa kushoto alishindwa kujizuia na kujikuta anabubujikwa na machozi 
  Wenzake walijitahidi na kuishia kununa tu, lakini hawakudondosha tone la chozi 
  Shabiki huyu alikuwa akitoa maneno makali kwa wachezaji wa Simba kwa kuruhusu Stand kupata sare
  Sura za mashabiki hawa wa Simba baada ya dakika 45 za kipindi cha kwanza, timu hizo zikiwa zimefungana 2-2

  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MASHABIKI SIMBA SC WALIVYOTIA HURUMA LEO TAIFA, HIYO SARE TU! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top