• HABARI MPYA

    Friday, March 02, 2018

    BARCELONA YAVUTWA KWA NYUMA LA LIGA, SARE 1-1 NA LAS PALMAS

    Lionel Messi wa Barcelona akikimbia na mpira kwa mahesabu dhidi ya beki wa Las Palmas, Alejandro Galvez katika mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Gran Canaria usiku wa jana. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1, Barca wakitangulia kwa bao la Messi dakika ya 21, kabla ya Las Palmas kusawazisha kupitia kwa Jonathan Calleri kwa penalti baada ya Lucas Digne kuushika mpira kwenye boksi PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BARCELONA YAVUTWA KWA NYUMA LA LIGA, SARE 1-1 NA LAS PALMAS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top