• HABARI MPYA

    Sunday, February 11, 2018

    MANCHESTER UNITED YAPIGWA 1-0 NA NEWCASTLE UNITED

    Mshambuliaji wa Manchester United, Alexis Sanchez akipiga shuti katikati ya wachezaji wa Newcastle United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa St. James' Park. Newcastle imeshinda 1-0, bao pekee la Matt Ritchie dakika ya 65 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANCHESTER UNITED YAPIGWA 1-0 NA NEWCASTLE UNITED Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top