• HABARI MPYA

  Monday, February 12, 2018

  KITU GANI KASSIM DEWJI ALIKUWA ANAMUAMBIA HANS POPPE HAPA?

  Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Kassim Dewji (kushoto) akumueleza jambo Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Zacharia Hans Poppe (kulia )wakati wa mchezo dhidi ya Gendarmerie Tnare ya Djibouti jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0   
  Mwanzoni mwa mchezo huo Kassim Dewji alionekana kuwa katika majadiliano mazito na Hans Poppe  
  Na Hans Poppe alionekana kuwa msikivu mno wakati Kassim Dewji anazungumza 
  Baada ya kumaliza mazunghumzo yao, wote wakaugeukia Uwanja kuendelea kuangalia mechi 
  Na bahati nzuri kwao, Simba ikaibuka na ushindi wa 4-0 jana

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KITU GANI KASSIM DEWJI ALIKUWA ANAMUAMBIA HANS POPPE HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top