• HABARI MPYA

  Friday, November 10, 2017

  NEYMAR AFUNGA PENALTI MOJA, AKOSA MOJA BRAZIL YASHINDA 3-0

  Neymar akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Brazil kwa penalti dakika ya 10 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Japan Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Lille, Ufaransa jioni ya leo kwenye mchezo wa kirafiki. Neymar angefunga mabao mawili kama asingekosa penalti nyingine dakika ya 17 wakati mabao mengine ya Brazil yamefungwa na Marcelo dakika ya 17 na Gabriel Jesus dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NEYMAR AFUNGA PENALTI MOJA, AKOSA MOJA BRAZIL YASHINDA 3-0 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top