Mshambuliaji Raheem Sterling akimchambua kipa Brad Jones wa Feyenoord ya Uholanzi kuifungia bao pekee Manchester City dakika ya 88 Uwanja wa Etihad katika ushindi wa 1-0 usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi F Ligi ya Mabingwa Ulaya na moja kwa moja kuiwezesha timu hiyo ya kocha Pep Guardiola kufuzu hatua ya mtoano kama mshindi wa kundi hilo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Loading...
0 comments:
Post a Comment