• HABARI MPYA

  Monday, November 27, 2017

  REFA AKATAA BAO LA MESSI, BARCA YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA

  Nyota wa Barcelona, Lionel Messi (kulia) na mchezaji mwenzake, Luis Suarez wakiwalalamikia marefa kuwanyima bao kipindi cha pili usiku wa jana Uwanja wa Mestalla katika mchezo wa La Liga, Valencia. Shuti la Messi lilivuta mstari wa lango, lakini kipa Norberto Murara 'Neto' akaokolea ndani timu hizo zikitoka sare ya 1-1, Rodrigo Moreno Machado alianza kuwafungia Valencia dakika ya 60, kabla ya Jordi Alba kuwasawazishia dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: REFA AKATAA BAO LA MESSI, BARCA YATOA SARE 1-1 NA VALENCIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top