• HABARI MPYA

  Tuesday, November 28, 2017

  MAN UNITED WALIVYOKWEA TRENI KUWAFUATA WATFORD

  Nyota wa Manchester United, Paul Pogba (kulia) na wenzake wakielekea kupanda treni katika stesheni ya Stockport kwa safari ya London kwa ajili mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Watford Uwanja wa Vicarage Road usiku wa leo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WALIVYOKWEA TRENI KUWAFUATA WATFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top