• HABARI MPYA

    Tuesday, November 28, 2017

    MWANJALI NA MATOLA WALIPOFANYA 'KIKAO CHA DHARULA' JUMAPILI

    Kocha Msaidizi wa Lipuli ya Iringa, Suleiman Matola (kulia) akisalimiana na Nahodha wa Simba, Method Mwanjali (kushoto) kabla ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara baina ya timu hizo Jumapili Uwanja w Uhuru, Dar es Salaam
    Mzimbabwe, Method Mwanjali (kushoto) na Suleiman Matola walisalimiana kama watu ambao wanafahamiana vizuri
    Wawili hao wote wamecheza Afrika Kusini, lakini hawakuwhai kukutana uwanjani, kwa sababu Matola alimtangulia Mwanjali
    Method Mwanjali hakucheza Jumapili Simba ikilazimishwa sare ya 1-1 na Lipuli 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWANJALI NA MATOLA WALIPOFANYA 'KIKAO CHA DHARULA' JUMAPILI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top