• HABARI MPYA

  Sunday, October 02, 2016

  ZIDANE KATIKA WAKATI MGUMU, REAL YALAZIMISHWA SARE BERNABEU 1-1

  Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane akijifuta usoni kwa masikitiko baada ya timu yake kulazimishwa sare ya 1-1 na Eibar katika mchezo wa La Liga leo Uwanja wa Bernabeu. Fran Rico alianza kuifungia Eibar dakika ya sita kabla ya Gareth Bale kuwasawazishia wenyeji dakika ya 17 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ZIDANE KATIKA WAKATI MGUMU, REAL YALAZIMISHWA SARE BERNABEU 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top