• HABARI MPYA

  Monday, October 03, 2016

  BARCELONA YANYOOSHWA, YAPIGWA 4-3 LA LIGA

  Wachezaji wa Celta Vigo wakishangilia ushindi wao wa 4-3 dhidi ya FC Barcelona usiku huu Uwanja wa Balaidos mjini Vigo. katikati yao ni mchezaji wa Barcelona, Neymar. Mabao ya Vigo yamefungwa na Pione Sisto, Iago Aspas, Jeremy Mathieu aliyejifunga na  Pablo Hernandez wakati ya Barca yalifungwa na Gerard Pique mawili na Neymar kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YANYOOSHWA, YAPIGWA 4-3 LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top